Ufafanuzi wa sababisha katika Kiswahili

sababisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kitu fulani kitokee.

    ‘Juma amesababisha ugomvi’

Asili

Kar

Matamshi

sababisha

/sababiāˆ«a/