Ufafanuzi wa sabalheri! katika Kiswahili

sabalheri!, sabahalkheri!

kiingizi

  • 1

    salamu ya kumjulia mtu hali wakati wa asubuhi.

Asili

Kar

Matamshi

sabalheri!

/sabalhɛri/