Ufafanuzi wa sabatiko katika Kiswahili

sabatiko

nomino

  • 1

    likizo ya mhadhiri ya kufanya utafiti au kushiriki kufunza katika idara nyingine ya chuo kikuu kingine ili kuboresha taaluma yake; livu ya kunoa ubongo.

Matamshi

sabatiko

/sabatikÉ”/