Ufafanuzi wa sabiki katika Kiswahili

sabiki

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa mbele.

    tangulia, takadamu, ongoza

Asili

Kar

Matamshi

sabiki

/sabiki/