Ufafanuzi wa sadakta! katika Kiswahili

sadakta!

kiingizi

  • 1

    neno analotumia mtu kuonyesha kuafiki wazo au jambo fulani.

    ‘Utakuja kesho?’
    hewaa, sawa!

Asili

Kar

Matamshi

sadakta!

/sadakta/