Ufafanuzi msingi wa sadifu katika Kiswahili

: sadifu1sadifu2

sadifu1

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    tokea kwa wakati mmoja.

    ‘Ilisadifu kwamba alipochomoa kisu kutaka kumdunga nacho, mimi nikatokea na kumnyang’anya’

Asili

Kar

Matamshi

sadifu

/sadifu/

Ufafanuzi msingi wa sadifu katika Kiswahili

: sadifu1sadifu2

sadifu2

kivumishi

  • 1

    -a kufaa.

Asili

Kar

Matamshi

sadifu

/sadifu/