Ufafanuzi msingi wa safihi katika Kiswahili

: safihi1safihi2safihi3

safihi1

nominoPlural masafihi

 • 1

  mtu mwenye tabia ya ufyosi.

  ‘Mtu huyu ni safihi sana’
  fidhuli, mjuba

 • 2

  mtu mwenye tabia ya kunyamaza kimya anapoulizwa jambo.

Asili

Kar

Matamshi

safihi

/safihi/

Ufafanuzi msingi wa safihi katika Kiswahili

: safihi1safihi2safihi3

safihi2

kivumishi

Asili

Kar

Matamshi

safihi

/safihi/

Ufafanuzi msingi wa safihi katika Kiswahili

: safihi1safihi2safihi3

safihi3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  kosea mtu adabu kwa kutoa maneno ya matusi.

  fyoa

 • 2

  nyamaa kimya unapoulizwa jambo.

Asili

Kar

Matamshi

safihi

/safihi/