Ufafanuzi wa safina katika Kiswahili

safina

nominoPlural safina

Kidini
  • 1

    Kidini
    chombo cha kusafiria majini kinachosadikiwa kilitengenezwa na Mtume Nuhu kabla ya wakati wa gharika kama ilivyoelezwa katika baadhi ya vitabu vya dini k.v. Kurani au Biblia.

Asili

Kar

Matamshi

safina

/safina/