Ufafanuzi wa safiri katika Kiswahili

safiri

kitenzi sielekezi

  • 1

    toka mahali fulani na kwenda mahali pa mbali k.v. kutoka mji mmoja mpaka mwingine.

Asili

Kar

Matamshi

safiri

/safiri/