Ufafanuzi wa safu katika Kiswahili

safu

nominoPlural safu

  • 1

    mstari, agh. wa watu waliojipanga mmoja nyuma ya mwingine au waliojipanga bega kwa bega.

    msafa

  • 2

    mpango wa vitu ambao kitu kimoja huwa juu ya kingine.

    tabaka, msafa

Asili

Kar

Matamshi

safu

/safu/