Ufafanuzi msingi wa saga katika Kiswahili

: saga1saga2saga3

saga1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  fanya kitu, agh. nafaka, kiwe ungaunga au vipandevipande kwa kutumia kifaa fulani k.v. jiwe au mashine.

 • 2

  ponda, seta, twanga

Matamshi

saga

/saga/

Ufafanuzi msingi wa saga katika Kiswahili

: saga1saga2saga3

saga2

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  fanya kitu kilike kwa sababu ya kusuguana na kitu kingine k.v. chuma kwa chuma.

Matamshi

saga

/saga/

Ufafanuzi msingi wa saga katika Kiswahili

: saga1saga2saga3

saga3

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa, ~ana

 • 1

  fanya kitendo cha kama kujamii kwa mwanamke kwa kusugua tupu ya mbele ya mwanamke mwingine.

Matamshi

saga

/saga/