Ufafanuzi msingi wa sagai katika Kiswahili

: sagai1sagai2

sagai1

nominoPlural sagai

  • 1

    aina mojawapo ya fumo au mkuki.

Matamshi

sagai

/sagaji/

Ufafanuzi msingi wa sagai katika Kiswahili

: sagai1sagai2

sagai2

nominoPlural sagai

  • 1

    sherehe inayowakutanisha wazazi wa kuukeni na kuumeni wa watu wanaooana baada ya posa kukubaliwa ili kuonyesha ishara ya upande wa kuukeni kumkubali na kumpokea bwana harusi.

Matamshi

sagai

/sagaji/