Ufafanuzi wa sagika katika Kiswahili

sagika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    weza kulika au kupondeka na kuwa kama unga au vipande vidogovidogo.

Matamshi

sagika

/sagika/