Ufafanuzi wa sagua katika Kiswahili

sagua

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya mzaha.

    dhihaki, cheza, tania, fyua

Matamshi

sagua

/saguwa/