Ufafanuzi wa sahaba katika Kiswahili

sahaba

nominoPlural masahaba

Kidini
  • 1

    Kidini
    mfuasi wa Mtume Muhammad (s.a.w.) aliyekuwa karibu naye zaidi wakati wa kutangaza Uislamu.

Asili

Kar

Matamshi

sahaba

/sahaba/