Ufafanuzi wa sahihisha katika Kiswahili

sahihisha

kitenzi elekezi

 • 1

  onyesha makosa yaliyofanyika na kuyarekebisha.

 • 2

  soma au kagua k.v. maandishi, kwa madhumuni ya kuangalia yaliyo na makosa na yaliyo sawa.

  ‘Sahihisha mtihani’

 • 3

  rekebisha, sawazisha, rahisisha

Asili

Kar

Matamshi

sahihisha

/sahihiāˆ«a/