Ufafanuzi wa sahihisho katika Kiswahili

sahihisho

nomino

  • 1

    tendo la kusahihisha.

    rekebisho

Asili

Kar

Matamshi

sahihisho

/sahihi∫ɔ/