Ufafanuzi wa saidia katika Kiswahili

saidia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~sha, ~wa

  • 1

    -pa mtu msaada ili kumtoa katika shida au kumwezesha kupata mahitaji yake.

    lami, faa, jitolea, auni, aviza, timinya, jalia

Asili

Kar

Matamshi

saidia

/saIdija/