Ufafanuzi msingi wa saini katika Kiswahili

: saini1saini2

saini1

nomino

  • 1

    maandishi ya jina la mtu ya kuthibitisha au kuidhinisha kutendeka au kupatikana kwa kitu au jambo fulani.

Asili

Kng

Matamshi

saini

/saIni/

Ufafanuzi msingi wa saini katika Kiswahili

: saini1saini2

saini2

kitenzi elekezi

  • 1

    toa idhini ya kutendeka au thibitisha kupatikana kwa kitu au jambo fulani kwa kuandika jina lako; kitendo cha kutia saini.

Asili

Kar

Matamshi

saini

/saIni/