Ufafanuzi wa saka katika Kiswahili

saka

kitenzi elekezi

  • 1

    tafuta mtu au mnyama ili kumkamata.

    winda, sakanya

Matamshi

saka

/saka/