Ufafanuzi wa sakafu katika Kiswahili

sakafu

nominoPlural sakafu

  • 1

    sehemu ya chini ya nyumba iliyotandazwa na kupigiliwa vizuri kwa kuchanganya mawe, mchanga na simenti.

Asili

Kar

Matamshi

sakafu

/sakafu/