Ufafanuzi wa sakramenti katika Kiswahili

sakramenti

nominoPlural sakramenti

Kidini
 • 1

  Kidini
  tendo la dini ya Ukristo ambalo waumini wake husadiki kuwa wakilitekeleza hupata baraka maalumu kutoka kwa Mungu.

  ‘Sakramenti ya ubatizo’

 • 2

  Kidini
  mkate wa divai unaoliwa kanisani kama ukumbusho wa kifo cha Yesu kwa Wakristo.

Matamshi

sakramenti

/sakramɛnti/