Ufafanuzi wa sakubimbi katika Kiswahili

sakubimbi

nomino

  • 1

    mtu anayependa kutafuta na kusemasema maneno ya watu, hasa ya uongo.

Matamshi

sakubimbi

/sakubimbi/