Ufafanuzi wa salamu katika Kiswahili

salamu

nominoPlural salamu

 • 1

 • 2

  taarifa ya maamkizi inayotolewa na mtu ama moja kwa moja au kupitia kwa mtu mwingine.

  ‘Juma amekuletea salamu’

 • 3

  maagizo anayopewa mtu ili ayafikishe kwa mwingine.

  ‘Salamu alizonipa Juma ni kwamba kesho asubuhi ufike kwake’
  ujumbe

Asili

Kar

Matamshi

salamu

/salamu/