Ufafanuzi wa salata katika Kiswahili

salata

nominoPlural masalata

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kuchonganisha watu kwa kuchukua maneno ya huku na kuyapeleka kwingine.

    mchonganishi, mfitini

Asili

Kar

Matamshi

salata

/salata/