Ufafanuzi wa sali katika Kiswahili

sali

kitenzi elekezi

Kidini
  • 1

    Kidini
    tekeleza ibada ya sala.

  • 2

    Kidini
    omba dua kwa Mwenyezi Mungu.

Asili

Kar

Matamshi

sali

/sali/