Ufafanuzi wa salimika katika Kiswahili

salimika

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    epuka balaa, kujeruhiwa au kuuliwa katika ajali, vita au janga fulani.

Asili

Kar

Matamshi

salimika

/salimika/