Ufafanuzi msingi wa salimu katika Kiswahili

: salimu1salimu2

salimu1

kitenzi elekezi

 • 1

  pelekea mtu ujumbe wa maamkizi.

  ‘Ndugu yako anakusalimu sana’

 • 2

  taka mtu hali.

  amkia

Asili

Kar

Matamshi

salimu

/salimu/

Ufafanuzi msingi wa salimu katika Kiswahili

: salimu1salimu2

salimu2

kitenzi elekezi

  Asili

  Kar

  Matamshi

  salimu

  /salimu/