Ufafanuzi wa salio katika Kiswahili

salio

nominoPlural masalio

  • 1

    kitu kilichobaki baada ya matumizi.

    sazo, ifu, albaki, mabaki

  • 2

    (katika mawasiliano ya simu) kiasi cha fedha kinachomwezesha mtumiaji wa simu kuongea au kutuma ujumbe.

Matamshi

salio

/salijɔ/