Ufafanuzi wa samai katika Kiswahili

samai

nominoPlural samai

Kidini
  • 1

    Kidini
    muziki unaopigwa kwa nai na matari katika mkusanyiko wa sherehe za dini ya Uislamu.

Matamshi

samai

/samaji/