Ufafanuzi wa samaki katika Kiswahili

samaki

nominoPlural samaki

  • 1

    kiumbe anayeishi ndani ya maji k.v. baharini, ziwani au mtoni mwenye mapezi na mkia, viungo ambavyo ndivyo vinavyomwezesha kwenda na hupumua kwa kutumia mashavu.

    somba, nswi, isi

Matamshi

samaki

/samaki/