Ufafanuzi wa sambamba katika Kiswahili

sambamba

kielezi

  • 1

    ubavu kwa ubavu na bila ya kugusana.

    ‘Mistari hii imechorwa sambamba’

Matamshi

sambamba

/sambamba/