Ufafanuzi wa sambo katika Kiswahili

sambo

nominoPlural sambo

  • 1

    chombo kinachosafiri majini k.v. mashua au jahazi.

Matamshi

sambo

/sambɔ/