Ufafanuzi wa samsuri katika Kiswahili

samsuri

nomino

  • 1

    samaki mkubwa wa rangi ya kahawia mwenye mkonga mrefu uliojitokeza kwenye mdomo wa juu, ambaye ana tabia ya kuruka.

    nduwari