Ufafanuzi wa sanaa katika Kiswahili

sanaa

nominoPlural sanaa

  • 1

    ufundi wa kuwasilisha hisia na mawazo ya binadamu kwa maandishi, michoro, maigizo, nyimbo au uchongaji.

  • 2

    zao linalotokana na ufundi huo.

Asili

Kar

Matamshi

sanaa

/sana:/