Ufafanuzi wa sanamu katika Kiswahili

sanamu

nominoPlural sanamu

  • 1

    kitu kilichoundwa, kufinyangwa au kuchongwa katika umbo la viumbe k.v. samaki, ndege, binadamu au mnyama.

    taswira

Asili

Kar

Matamshi

sanamu

/sanamu/