nominoPlural sanda
- 1
nguo nyepesi, agh. nyeupe, anayovishwa maiti na kuzikwa nayo.
kafani
Matamshi
sanda
/sanda/nominoPlural sanda
- 1
fedha anazotoa mtu kumpa jamaa yake mfiwa ili kumsaidia katika gharama za mazishi.
ubani
Asili
Kar