Ufafanuzi wa sanduku katika Kiswahili

sanduku

nominoPlural masanduku

  • 1

    kasha, agh. la mbao, chuma au karatasi, ambalo hutumika kuhifadhia nguo, dawa, n.k..

    ndusi

Asili

Kar

Matamshi

sanduku

/sanduku/