Ufafanuzi wa sanii katika Kiswahili

sanii

kitenzi elekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    fanya jambo kwa ufundi ili kudhihirisha sura mbalimbali za kupendeza k.v. kwa maandishi, michoro au uchongaji.

Asili

Kar

Matamshi

sanii

/sani:/