Ufafanuzi wa santuri katika Kiswahili

santuri

nominoPlural santuri

  • 1

    chombo kama sanduku cha kupigia sahani ya muziki.

    gramafoni

  • 2

    sahani ya santuri.

Asili

Kar

Matamshi

santuri

/santuri/