Ufafanuzi wa sarafu katika Kiswahili

sarafu

nominoPlural sarafu

  • 1

    vipande vya madini k.v. fedha, shaba au dhahabu, vyenye thamani na vinavyotumika kuwa ni pesa.

    fedha

  • 2

    chombo cha shaba kinachotumika kuwa ni pambo kwa wanawake ambacho huvaliwa shingoni au kichwani.

Asili

Kar

Matamshi

sarafu

/sarafu/