Ufafanuzi wa sarakasi katika Kiswahili

sarakasi

nominoPlural sarakasi

  • 1

    michezo ya kistadi ya kuonyesha vitendo visivyo vya kawaida na vya ajabu k.v. ndovu kupanda baiskeli au mtu kupita juu ya ukambaa uliofungwa juu.

Asili

Kng

Matamshi

sarakasi

/sarakasi/