Ufafanuzi wa sarenda katika Kiswahili

sarenda

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha, ~ewa

  • 1

    salimu amri, kubali kushindwa katika pambano hususan vita.

  • 2

    kai

Asili

Kng

Matamshi

sarenda

/sarɛnda/