Ufafanuzi wa sato katika Kiswahili

sato

nominoPlural sato

  • 1

    samaki wa maji baridi anayefanana na perege lakini mkubwa zaidi, mwenye magamba na rangi ya kijivu na nyeusi.

    ngege

Matamshi

sato

/satɔ/