Ufafanuzi wa sauna katika Kiswahili

sauna

nomino

  • 1

    chumba chenye mvuke wa joto ambacho huburudisha mwili.

    fukizo

Matamshi

sauna

/sawuna/