Ufafanuzi wa sauti katika Kiswahili

sauti

nominoPlural sauti

  • 1

    mlio unaotokana na mgongano wa vitu k.v. chuma, msuguano wa ala za kinywa au mwili wa kiumbe.

    ‘Sauti ya ndege’

Asili

Kar

Matamshi

sauti

/sawuti/