Ufafanuzi wa savana katika Kiswahili

savana

nomino

  • 1

    ukanda wa mbuga za majani katika nyanda za joto.

Asili

Kng

Matamshi

savana

/savana/