Ufafanuzi wa sawasawa katika Kiswahili

sawasawa

kielezi

 • 1

  kwa kulingana.

  ‘Gawa sawasawa’
  suluhu, sare, kuntu, vyema, kama, lahiki

 • 2

  -sio na hitilafu.

  ‘Ulivyofanya ni sawasawa’

Asili

Kar

Matamshi

sawasawa

/sawasawa/