Ufafanuzi wa sawia katika Kiswahili

sawia

kielezi

  • 1

    wakati uleule; papo hapo.

    ‘Mwalimu amefika na watoto sawia’

Asili

Kar

Matamshi

sawia

/sawija/