Ufafanuzi wa sayansikimu katika Kiswahili

sayansikimu

nomino

  • 1

    taaluma ya mambo ya nyumbani k.v. usafi, ushonaji, upishi, udobi, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

sayansikimu

/sajansikimu/